1. EachPod
EachPod

I Need Therapy A.K.A Movie La Kivita

Author
Official Maftah
Published
Tue 06 Apr 2021
Episode Link
https://www.spreaker.com/episode/i-need-therapy-a-k-a-movie-la-kivita--44216633

#Why I need therapy..?
Maumivu yanaweza kukufanya kuwa mtuu watofauti kabisa na ulivyo kua zamani mtu mzuri au mtu mmbaya yote yanategemea na wew jinsi ulivyo yapokea maumivu yale
Tiba ya maumivu yangu mimi nikufanya kazi kwa juhudi ilikufikia ndoto zangu ili iwe funzo zuri kwa wote walio niumiza

Share to: